1 Samuel 6:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walifanya kama walivyoambiwa; waliwachukua ng'ombe wawili wanaokamuliwa na kuwafunga kwenye gari, na ndama wao wakawafunga zizini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wakafanya hivyo. Wakachukua ng’ombe wawili wa aina hiyo, wakawafungia hilo gari la kukokotwa, nao ndama wao wakawekwa zizini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi watu wale walifanya hivyo; wakatwaa ng'ombe wawili wakamwao, wakawafunga garini, na ndama zao wakawafunga zizini;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walifanya kama walivyoambiwa; waliwachukua ng'ombe wawili wanaokamuliwa na kuwafunga kwenye gari, na ndama wao wakawafunga zizini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wakafanya hivyo. Wakachukua ng'ombe wawili wa aina hiyo, wakawafungia hilo gari la kukokotwa, nao ndama wao wakawekwa zizini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wakafanya hivyo. Wakachukua ng’ombe wawili wa aina hiyo, wakawafungia hilo gari la kukokotwa, nao ndama wao wakawekwa zizini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi watu wale walifanya hivyo; wakatwaa ng'ombe wawili wakamuliwao, wakawafunga garini, na ndama wao wakawafunga zizini;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walifanya kama walivyoambiwa; waliwachukua ng'ombe wawili wanaokamuliwa na kuwafunga kwenye gari, na ndama wao wakawafunga zizini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watu wakafanya hivyo, wakachukua ng'ombe wawili wanyonyeshao, wakawafunga penye gari, nao watoto wao wakawafungia nyumbani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi watu wale walifanya hivyo; wakatwaa ng’ombe wawili wakamwao, wakawafunga garini, na ndama zao wakawafunga zizini;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walifanya kama walivyoambiwa; walitwaa ngombe wawili wenye kunyonyesha na kuwafunga kwenye gari, na vitoto vyao wakavifunga katika zizi.