1 Samuel 6:11 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lile sanduku la Mwenyezi-Mungu wakalitia kwenye gari hilo pamoja na lile kasha lenye vinyago vya dhahabu vya panya na vile vya majipu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakaliweka Sanduku la Mwenyezi Mungu juu ya hilo gari la kukokotwa pamoja na lile kasha lenye ile mifano ya panya wa dhahabu na ya majipu ya dhahabu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha wakaliweka sanduku la Bwana juu ya gari, pamoja na kasha lenye panya wa dhahabu na sanamu za majipu yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lile sanduku la Mwenyezi-Mungu wakalitia kwenye gari hilo pamoja na lile kasha lenye vinyago vya dhahabu vya panya na vile vya majipu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakaliweka Sanduku la BWANA juu ya hilo gari la kukokotwa pamoja na lile kasha lenye ile mifano ya panya wa dhahabu na ya majipu ya dhahabu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakaliweka Sanduku la bwana juu ya hilo gari la kukokotwa pamoja na lile kasha lenye ile mifano ya panya wa dhahabu na ya majipu ya dhahabu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha wakaliweka sanduku la BWANA juu ya gari, pamoja na kasha lenye panya wa dhahabu na sanamu za majipu yao.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lile sanduku la Mwenyezi-Mungu wakalitia kwenye gari hilo pamoja na lile kasha lenye vinyago vya dhahabu vya panya na vile vya majipu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha wakaliweka Sanduku la Bwana garini pamoja na kisanduku chenye panya za dhahabu na mifano ya majipu yao mabaya.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha wakaliweka sanduku la BWANA juu ya gari, pamoja na kasha lenye panya wa dhahabu na sanamu za majipu yao.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lile Sanduku la Yawe wakalitia kwenye gari hilo pamoja na kile kibweta chenye kuwa na sanamu za zahabu za panya na zile za majipu.