1 Samuel 6:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wale watawala watano wa Wafilisti waliona haya yote, nao wakarudi Ekroni siku ile ile.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na hao mashehe watano wa Wafilisti, hapo walipokwisha kuyaona hayo, walirejea Ekroni siku iyo hiyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wale watawala watano wa Wafilisti waliona haya yote, nao wakarudi siku ile ile mpaka Ekroni.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wale watawala watano wa Wafilisti waliona haya yote, nao wakarudi siku ile ile mpaka Ekroni.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na hao wakuu watano wa Wafilisti, hapo walipoyaona hayo, walirejea Ekroni siku hiyo hiyo.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wale wakuu watano wa Wafilisti walipoona hayo, walirudi Ekroni, siku hiyohiyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wale wakuu watano wa Wafilisti walipokwisha kuviona wakarudi Ekroni siku ileile.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na hao mashehe watano wa Wafilisti, hapo walipokwisha kuyaona hayo, walirejea Ekroni siku iyo hiyo.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wale wakubwa watano wa Wafilistini walipoona hayo, walirudi Ekuroni, siku ileile.