1 Samuel 6:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wafilisti waliwaita makuhani na waaguzi wao na kuwauliza, “Tufanyeje na sanduku hili la Mwenyezi-Mungu? Tuambieni namna gani tunavyoweza kulirudisha mahali pake.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la Mwenyezi Mungu? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao Wafilisti wakawaita makuhani na waaguzi, wakasema, Tulifanyieje sanduku la Bwana? Tuonyesheni jinsi tuwezavyo kulirudisha mahali pake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wafilisti waliwaita makuhani na waaguzi wao na kuwauliza, “Tufanyeje na sanduku hili la Mwenyezi-Mungu? Tuambieni namna gani tunavyoweza kulirudisha mahali pake.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la BWANA? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wafilisti waliwaita makuhani wa Dagoni na waaguzi, na kuwaambia, “Tutafanya nini na hili Sanduku la bwana? Tuambieni jinsi tutakavyolirudisha mahali pake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao Wafilisti wakawaita makuhani na waaguzi, wakasema, Tulifanyieje sanduku la BWANA? Tuonyesheni jinsi tuwezavyo kulirudisha mahali pake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wafilisti waliwaita makuhani na waaguzi wao na kuwauliza, “Tufanyeje na sanduku hili la Mwenyezi-Mungu? Tuambieni namna gani tunavyoweza kulirudisha mahali pake.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wafilisti wakawaita watambikaji na waaguaji na kuwauliza: Sanduku la Bwana tulifanyie nini? Tujulisheni njia ya kulipeleka mahali pake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao Wafilisti wakawaita makuhani na waaguzi, wakasema, Tulifanyieje sanduku la BWANA? Tuonyesheni jinsi tuwezavyo kulirudisha mahali pake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wafilistini waliwaita makuhani na waaguzi wao na kuwauliza: “Tufanye nini na Sanduku hili la Yawe? Mutuambie namna gani tunavyoweza kulirudisha kwa nafasi yake.”