1 Samuel 6:21 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Walituma wajumbe kwenda kwa wakazi wa mji wa Kiriath-yearimu, waseme: “Wafilisti wamelirudisha sanduku la Mwenyezi-Mungu, njoni mlichukue.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha wakatuma wajumbe kwa watu wa Kiriath-Yearimu, wakisema, “Wafilisti wamerudisha Sanduku la Mwenyezi Mungu. Shukeni na mlipandishe huko kwenu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nao wakatuma wajumbe waende kwa wenyeji wa Kiriath-yearimu, kusema, Wafilisti wamelirudisha sanduku la Bwana; basi shukeni, mkalichukue kwenu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Walituma wajumbe kwenda kwa wakazi wa mji wa Kiriath-yearimu, waseme: “Wafilisti wamelirudisha sanduku la Mwenyezi-Mungu, njoni mlichukue.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha wakatuma wajumbe kwa watu wa Kiriath-Yearimu, wakisema, “Wafilisti wamerudisha Sanduku la BWANA. Shukeni na mlipandishe huko kwenu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha wakatuma wajumbe kwa watu wa Kiriath-Yearimu, wakisema, “Wafilisti wamerudisha Sanduku la bwana. Shukeni na mlipandishe huko kwenu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nao wakatuma wajumbe waende kwa wenyeji wa Kiriath-yearimu, kusema, Wafilisti wamelirudisha sanduku la BWANA; basi shukeni, mkalichukue.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Walituma wajumbe kwenda kwa wakazi wa mji wa Kiriath-yearimu, waseme: “Wafilisti wamelirudisha sanduku la Mwenyezi-Mungu, njoni mlichukue.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakatuma wajumbe kwa wenyeji wa Kiriati-Yearimu kwamba: Wafilisti wamelirudisha Sanduku la Bwana; haya! Telemkeni, mlipandishe kwenu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao wakatuma wajumbe waende kwa wenyeji wa Kiriath-yearimu, kusema, Wafilisti wamelirudisha sanduku la BWANA; basi shukeni, mkalichukue kwenu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Walituma wajumbe kwenda kwa wakaaji wa muji wa Kiriati-Yearimu, waseme: “Wafilistini wamelirudisha Sanduku la Yawe, mukuje mulikamate.”