1 Samuel 6:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Chukueni sanduku la Mwenyezi-Mungu na kuliweka katika gari hilo. Kando ya sanduku wekeni vile vinyago vya dhahabu ambavyo mnampelekea kama sadaka ya kuondoa hatia yenu. Kisha mliache liende litakakokwenda.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Chukueni hilo Sanduku la Mwenyezi Mungu na mliweke juu ya gari la kukokotwa, na ndani ya kasha kando yake wekeni hivyo vitu vya dhahabu mnavyompelekea Mwenyezi Mungu kama sadaka ya hatia. Lipelekeni,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kisha, litwaeni hilo sanduku la Bwana, na kuliweka juu ya gari; na hivyo vitu vya dhahabu, mtakavyompelekea kuwa matoleo ya kosa, mvitie katika kasha kando yake; mkalipeleke sanduku, lipate kwenda.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Chukueni sanduku la Mwenyezi-Mungu na kuliweka katika gari hilo. Kando ya sanduku wekeni vile vinyago vya dhahabu ambavyo mnampelekea kama sadaka ya kuondoa hatia yenu. Kisha mliache liende litakakokwenda.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Chukueni hilo Sanduku la BWANA na mliweke juu ya gari la kukokotwa, ndani ya kasha kando yake wekeni hivyo vitu vya dhahabu mnavyompelekea BWANA kama sadaka ya hatia, ipelekeni,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Chukueni hilo Sanduku la bwana na mliweke juu ya gari la kukokotwa, na ndani ya kasha kando yake wekeni hivyo vitu vya dhahabu mnavyompelekea bwana kama sadaka ya hatia. Lipelekeni,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kisha, litwaeni hilo sanduku la BWANA, na kuliweka juu ya gari; na hivyo vitu vya dhahabu, mtakavyompelekea kuwa matoleo ya kosa, mvitie katika kasha kando yake; mkalipeleke sanduku, lipate kwenda.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Chukueni sanduku la Mwenyezi-Mungu na kuliweka katika gari hilo. Kando ya sanduku wekeni vile vinyago vya dhahabu ambavyo mnampelekea kama sadaka ya kuondoa hatia yenu. Kisha mliache liende litakakokwenda.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha lichukueni Sanduku la Bwana, mliweke garini pamoja na vile vyombo vya dhahabu, mtakavyomlipa kuwa kipaji cha tambiko cha upozi. Hivyo vitieni katika kisanduku kando yake, kisha lipelekeni, liende kwao!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kisha, litwaeni hilo sanduku la BWANA, na kuliweka juu ya gari; na hivyo vitu vya dhahabu, mtakavyompelekea kuwa matoleo ya kosa, mvitie katika kasha kando yake; mkalipeleke sanduku, lipate kwenda.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mutwae Sanduku la Yawe na kuliweka katika gari hilo. Muweke zile sanamu za zahabu ambazo munamupelekea kama sadaka ya malipo ya makosa yenu pembeni ya Sanduku. Kisha muliache liende litakakokwenda.