1 Samuel 7:14 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Miji yote ya Waisraeli ambayo Wafilisti waliiteka kati ya Ekroni na Gathi ilirudishiwa Waisraeli, nao walikomboa nchi yao kutoka kwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Waisraeli na Waamori.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Miji kuanzia Ekroni hadi Gathi, ambayo Wafilisti walikuwa wameiteka kutoka Israeli, ilirudishwa kwake, naye Israeli akazikomboa nchi jirani mikononi mwa Wafilisti. Kukawa na amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nayo miji ile Wafilisti waliyokuwa wamewapokonya Waisraeli ilirudishwa tena kwa Israeli, tokea Ekroni mpaka Gathi; na Waisraeli wakauokoa mpaka wake mikononi mwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Miji yote ya Waisraeli ambayo Wafilisti waliiteka kati ya Ekroni na Gathi ilirudishiwa Waisraeli, nao walikomboa nchi yao kutoka kwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Waisraeli na Waamori.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Miji kuanzia Ekroni hadi Gathi ile ambayo Wafilisti walikuwa wameiteka kutoka Israeli ilirudishwa kwake, nayo Israeli akazikomboa nchi za jirani kutoka mikononi mwa Wafilisti. Kukawepo amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Miji kuanzia Ekroni hadi Gathi, ile ambayo Wafilisti walikuwa wameiteka kutoka Israeli, ilirudishwa kwake, naye Israeli akazikomboa nchi jirani mikononi mwa Wafilisti. Kukawepo amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nayo miji ile Wafilisti waliyokuwa wamewapokonya Waisraeli ilirudishwa tena kwa Israeli, tokea Ekroni mpaka Gathi; na Waisraeli wakauokoa mpaka wake mikononi mwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Miji yote ya Waisraeli ambayo Wafilisti waliiteka kati ya Ekroni na Gathi ilirudishiwa Waisraeli, nao walikomboa nchi yao kutoka kwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Waisraeli na Waamori.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo miji, Wafilisti waliyoichukua kwa Waisiraeli, ikarudi tena kuwa yao Waisiraeli toka Ekroni hata Gati, nazo nchi zao Waisiraeli wakaziponya mikononi mwa Wafilisti. Tena Waisiraeli na Waamori walikuwa wakipatana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nayo miji ile Wafilisti waliyokuwa wamewapokonya Waisraeli ilirudishwa tena kwa Israeli, tokea Ekroni mpaka Gathi; na Waisraeli wakauokoa mpaka wake mikononi mwa Wafilisti. Tena kulikuwa na amani kati ya Israeli na Waamori.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Miji yote ya Waisraeli ambayo Wafilistini waliiteka kati ya Ekuroni na Gati ilirudishiwa kwa Waisraeli. Waisraeli walikomboa inchi yao kutoka kwa Wafilistini. Tena kulikuwa amani kati ya Waisraeli na Waamori.