1 Samuel 7:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akaendelea kuwa mwamuzi wa Israeli siku zote za maisha yake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye huyo Samweli akawaamua Israeli siku zote za maisha yake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akaendelea kama mwamuzi juu ya Israeli siku zote za maisha yake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye huyo Samweli akawaamua Waisraeli siku zote za maisha yake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Naye Samweli akawa mwamuzi wa Waisiraeli siku zote za maisha yake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye huyo Samweli akawaamua Israeli siku zote za maisha yake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alikuwa mwamuzi wa Israeli maisha yake yote.