1 Samuel 7:6 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika huko Mizpa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Mwenyezi-Mungu, wakafunga siku ile yote na kusema, “Tumetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu.” (Samueli alikuwa mwamuzi wa Waisraeli huko Mizpa).
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za Mwenyezi Mungu. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya Mwenyezi Mungu.” Naye Samweli alikuwa kiongozi wa Israeli huko Mispa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za Bwana; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia Bwana dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika huko Mizpa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Mwenyezi-Mungu, wakafunga siku ile yote na kusema, “Tumetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu.” (Samueli alikuwa mwamuzi wa Waisraeli huko Mizpa).
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za BWANA. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya BWANA.” Naye Samweli alikuwa kiongozi wa Israeli huko Mispa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Walipokwisha kukutanika huko Mispa, walichota maji na kuyamimina mbele za bwana. Siku hiyo walifunga na wakaungama, wakisema, “Tumetenda dhambi dhidi ya bwana.” Naye Samweli alikuwa kiongozi wa Israeli huko Mispa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za BWANA; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia BWANA dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika huko Mizpa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Mwenyezi-Mungu, wakafunga siku ile yote na kusema, “Tumetenda dhambi mbele ya Mwenyezi-Mungu.” (Samueli alikuwa mwamuzi wa Waisraeli huko Mizpa).
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wakakusanyika Misipa, wakachota maji, wakayamwaga mbele ya Bwana na kufunga mfungo siku hiyo na kusema huko: Tumemkosea Bwana! Kisha Samweli akawakatia wana wa Isiraeli mashauri huko Misipa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wakakusanyika huko Mispa, wakateka maji na kuyamimina mbele za BWANA; wakafunga siku ile, wakasema huko, Tumemfanyia BWANA dhambi. Samweli akawaamua wana wa Israeli huko Mispa.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hivyo, Waisraeli wote wakakusanyika kule Misipa. Walichota maji na kuyamimina mbele ya Yawe, wakafunga kula chakula siku ile yote na kusema: “Tumetenda zambi mbele ya Yawe.” Samweli akakuwa mwamuzi wa Waisraeli kule Misipa.