1 Samuel 8:10 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli akawaambia wale watu ambao walikuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wakiomba wapewe mfalme maneno yote ya bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kwa hiyo, Samueli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mfalme maneno yote ya Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme haya maneno yote ya Bwana
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Samweli akawaambia wale watu waliotaka mfalme maneno yote ya BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli akawaambia wale watu waliokuwa wanaomba wapewe mufalme maneno yote ya Yawe.