1 Samuel 8:13 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na binti zenu atawatwaa kuwa wafanyaji wa marhamu, na wapishi, na waokaji.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawachukua binti zenu kuwa watengeneza manukato, wapishi na waokaji.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na binti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marhamu, wapishi na waokaji.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Binti zenu atawachukua kuwa watengenezaji marashi, wengine wapishi na wengine waokaji mikate.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao wana wenu wa kike atawachukua, wawe watengeneza manukato na wapishi na waoka mikate.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na binti zenu atawatwaa kuwa wafanyaji wa marhamu, na wapishi, na waokaji.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wabinti zenu atawatwaa kuwa watengenezaji wa marasi, wengine wapishi na wengine wachomaji wa mikate.