1 Samuel 8:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ataichukua sehemu ya kumi ya nafaka yenu na ya zabibu zenu na kuwapa maafisa wake na watumishi wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye atawatoza ushuru wa mbegu zenu na wa mizabibu yenu, awape maakida wake, na watumishi Wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ataichukua sehemu ya kumi ya nafaka yenu na ya zabibu zenu na kuwapa maafisa wake na watumishi wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ataichukua sehemu ya kumi ya nafaka yenu na ya zabibu zenu na kuwapa maafisa wake na watumishi wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye atawatoza ushuru wa mbegu zenu na wa mizabibu yenu, awape wakuu wake, na watumishi wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachukua sehemu ya kumi ya nafaka zenu na ya zabibu zenu na kuwapa maofisa wake na watumishi wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tena mbegu zenu na mizabibu yenu atatoza mafungu ya kumi, awape watumishi wake wa nyumbani na watumishi wake wengine.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye atawatoza ushuru wa mbegu zenu na wa mizabibu yenu, awape maakida wake, na watumishi Wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatwaa sehemu ya kumi ya ngano zenu na ya zabibu zenu na kuwapa wakubwa wake na watumishi wake.