1 Samuel 8:16 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike na ng'ombe wenu wazuri na punda wenu wazuri kabisa na kuwafanya wamfanyie kazi zake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atawachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike, na ng’ombe wenu walio wazuri sana na punda kwa matumizi yake mwenyewe.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawatwaa watumishi wenu na wajakazi wenu, na ng'ombe zenu walio wazuri sana, na punda zenu, naye atawatia katika kazi zake mwenyewe.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike na ng'ombe wenu wazuri na punda wenu wazuri kabisa na kuwafanya wamfanyie kazi zake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atawachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike na ng'ombe wenu walio wazuri sana na punda zenu kwa matumizi yake mwenyewe.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atawachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike, na ng’ombe wenu walio wazuri sana na punda kwa matumizi yake mwenyewe.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawatwaa watumishi wenu na wajakazi wenu, na ng'ombe wenu walio wazuri sana, na punda wenu, naye atawatia katika kazi zake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachukua watumishi wenu wa kiume na wa kike na ng'ombe wenu wazuri na punda wenu wazuri kabisa na kuwafanya wamfanyie kazi zake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nao watumishi wenu wa kiume na wa kike na vijana wenu walio wazuri zaidi na punda wenu atachukua, awatumie katika kazi zake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawatwaa watumishi wenu na wajakazi wenu, na ng’ombe zenu walio wazuri sana, na punda zenu, naye atawatia katika kazi zake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatwaa watumishi wenu na wajakazi wenu na ngombe wenu wazuri na punda wenu wazuri kabisa na kuwafanya wamufanyie kazi yake.