1 Samuel 8:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Atachukua sehemu ya kumi ya makundi yenu ya kondoo na mbuzi, na ninyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Atawatoza fungu la kumi la mifugo wenu; nanyi mtakuwa watumwa wake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Atachukua sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na nyinyi wenyewe mtakuwa watumwa wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mbuzi na kondoo wenu atatoza mafungu ya kumi, nanyi sharti mmtumikie kitumwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Atawatoza fungu la kumi la makundi yenu; nanyi mtakuwa watumwa wake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Atatwaa sehemu ya kumi ya kondoo wenu. Na ninyi wenyewe mutakuwa watumwa wake.