1 Samuel 8:2 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mtoto wake wa kwanza wa kiume aliitwa Yoeli, na wa pili aliitwa Abiya. Wote wawili walikuwa waamuzi huko Beer-sheba.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mzaliwa wa kwanza aliitwa Yoeli, na wa pili aliitwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Na jina la mwanawe mzaliwa wa kwanza aliitwa Yoeli; na jina la wa pili Abiya; walikuwa waamuzi katika Beer-sheba.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mtoto wake wa kwanza wa kiume aliitwa Yoeli, na wa pili aliitwa Abiya. Wote wawili walikuwa waamuzi huko Beer-sheba.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli na jina la wa pili alikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mzaliwa wa kwanza alikuwa Yoeli, na la wa pili lilikuwa Abiya, nao wakatumika huko Beer-Sheba.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Na jina la mwanawe mzaliwa wa kwanza lilikuwa Yoeli; na jina la wa pili Abiya; walikuwa waamuzi katika Beer-sheba.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mtoto wake wa kwanza wa kiume aliitwa Yoeli, na wa pili aliitwa Abiya. Wote wawili walikuwa waamuzi huko Beer-sheba.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Jina la mwanawe wa kwanza ni Yoeli, nalo lake wa pili ni Abia, nao walikaa Beri-Seba, walipokuwa waamuzi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Na jina la mwanawe mzaliwa wa kwanza aliitwa Yoeli; na jina la wa pili Abiya; walikuwa waamuzi katika Beer-sheba.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Mwana wake wa kwanza aliitwa Yoeli, na wa pili aliitwa Abiya. Wote wawili walikuwa waamuzi kule Beri-Seba.