1 Samuel 8:21 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za Mwenyezi Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Samweli akayasikia maneno yote ya watu, akayanena masikioni mwa Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli aliposikia yale yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za BWANA.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli aliposikia yote watu waliyosema, akarudia kuyasema mbele za bwana.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Samweli akayasikia maneno yote ya watu, akayanena masikioni mwa BWANA.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alipokwisha sikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumweleza Mwenyezi-Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli alipokwisha kuyasikia maneno yote ya watu, akaja kuyasema masikioni mwa Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Samweli akayasikia maneno yote ya watu, akayanena masikioni mwa BWANA.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alipokwisha kusikiliza kila kitu walichosema, akaenda na kumwelezea Yawe.