1 Samuel 8:22 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwenyezi Mungu akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia Waisraeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana akamwambia Samweli, Isikilize sauti yao, ukawafanyie mfalme. Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, Enendeni kila mtu mjini kwake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
BWANA akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
bwana akamjibu, “Wasikilize na uwape mfalme.” Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, “Kila mmoja arudi mjini kwake.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
BWANA akamwambia Samweli, Isikilize sauti yao, ukawateulie mfalme. Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, Kila mtu aende nyumbani kwake.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mwenyezi-Mungu akamwambia Samueli, “Wasikilize na wapatie mfalme.” Kisha Samueli akawaambia Waisraeli warudi nyumbani, kila mtu mjini kwake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Bwana akamwambia Samweli: Viitikie vinywa vyao na kuwapatia mfalme! Ndipo, Samweli alipowaambia waume wa Waisiraeli: Nendeni zenu kila mtu mjini kwake!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
BWANA akamwambia Samweli, Isikilize sauti yao, ukawafanyie mfalme. Kisha Samweli akawaambia watu wa Israeli, Enendeni kila mtu mjini kwake.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yawe akamwambia Samweli: “Uwasikilize na uwapatie mufalme.” Kisha Samweli akawaambia Waisraeli warudie kwao, kila mutu katika muji wake.