1 Samuel 8:3 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini watoto hao hawakufuata mwenendo wa baba yao. Bali walianza kujitafutia faida. Wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ila wanawe hawakuenda katika njia zake, bali waliziacha, ili wapate faida; wakapokea rushwa, na kupotosha hukumu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini watoto hao hawakufuata mwenendo wa baba yao. Bali walianza kujitafutia faida. Wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini wanawe hawakuenenda katika njia zake. Waliziacha wakageukia faida za udanganyifu nao wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ila wanawe hawakuenenda katika njia zake, bali waliziacha, ili wapate faida; wakapokea rushwa, na kupotosha hukumu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini watoto hao hawakufuata mwenendo wa baba yao. Bali walianza kujitafutia faida. Wakapokea rushwa na kupotosha haki.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wanawe hawakuendelea na kuzishika njia zake, maana waligeukia kutafuta mali, kwa hiyo wakachukua fedha za kupenyezewa, wakayapotoa mashauri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ila wanawe hawakuenda katika njia zake, bali waliziacha, ili wapate faida; wakapokea rushwa, na kupotosha hukumu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini watoto hao hawakufuata mwenendo wa baba yao. Lakini walianza kujitafutia faida. Wakapokea kituliro na kupotosha haki.