1 Samuel 8:4 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, viongozi wote wa Israeli walikusanyika pamoja, na kumwendea Samueli mjini Rama,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi wazee wote wa Israeli wakakusanyika pamoja na kumjia Samweli huko Rama.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, viongozi wote wa Israeli walikusanyika pamoja, na kumwendea Samueli mjini Rama,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi wazee wote wa Israeli wakakusanyika pamoja na kumjia Samweli huko Rama.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi wazee wote wa Israeli wakakusanyika pamoja na kumjia Samweli huko Rama.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, viongozi wote wa Israeli walikusanyika pamoja, na kumwendea Samueli mjini Rama,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndipo, wazee wote wa Waisiraeli walipokusanyika, wakaja Rama kwa Samweli,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo wazee wote wa Israeli wakakutana pamoja, wakamwendea Samweli huko Rama;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, viongozi wote wa Waisraeli walikusanyika pamoja, na kumwendea Samweli katika muji wa Rama,