1 Samuel 8:5 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
wakamwambia, “Tazama, wewe sasa ni mzee na watoto wako hawafuati mwenendo wako. Hivyo, tuteulie mfalme wa kututawala kama yalivyo mataifa mengine.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Wakamwambia, “Wewe umekuwa mzee, nao wanao hawaenendi katika njia zako, sasa tuteulie mfalme wa kutuongoza, kama ilivyo kwa mataifa mengine yote.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
wakamwambia, “Tazama, wewe sasa ni mzee na watoto wako hawafuati mwenendo wako. Hivyo, tuteulie mfalme wa kututawala kama yalivyo mataifa mengine.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Wakamwambia, “Wewe umekuwa mzee, nao wanao hawaenendi katika njia zako, sasa tuwekee mfalme wa kutuongoza, kama ilivyo kwa mataifa mengine yote.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Wakamwambia, “Wewe umekuwa mzee, nao wanao hawaenendi katika njia zako, sasa tuteulie mfalme wa kutuongoza, kama ilivyo kwa mataifa mengine yote.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
wakamwambia, Angalia, wewe umezeeka, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tuteulie mfalme atutawale kama mataifa yale mengine yote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
wakamwambia, “Tazama, wewe sasa ni mzee na watoto wako hawafuati mwenendo wako. Hivyo, tuteulie mfalme wa kututawala kama yalivyo mataifa mengine.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
wakamwambia: Tazama! Wewe umekwisha kuwa mzee, nao wanao hawaendelei na kuzishika njia zako, sasa tuwekee mfalme wa kutuamulia, kama mataifa yote yanavyoamuliwa!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
wakamwambia, Angalia, wewe umekuwa mzee, na wanao hawaendi katika njia zako; basi, tufanyie mfalme atuamue, mfano wa mataifa yote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
wakamwambia: “Angalia, wewe sasa ni muzee na watoto wako hawafuati mwenendo wako. Hivyo, utuchagulie mufalme wa kututawala sawa vile inavyokuwa kwa mataifa mengine.”