1 Samuel 8:9 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Basi, wasikilize, lakini, waonye vikali, na waeleze waziwazi jinsi mfalme atakayewatawala atakavyowatendea.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa wasikilize, lakini waonye sana, na uwafahamishe yale watakayotendewa na mfalme atakayewatawala.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi sasa, isikilize sauti yao; walakini, uwaonye sana, na kuwaonyesha desturi ya mfalme atakayewamiliki.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Basi, wasikilize, lakini, waonye vikali, na waeleze waziwazi jinsi mfalme atakayewatawala atakavyowatendea.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sasa wasikilize, lakini waonye kwa makini na uwafahamishe yale watakayotendewa na mfalme atakayewatawala.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa wasikilize, lakini waonye kwa makini na uwafahamishe yale watakayotendewa na mfalme atakayewatawala.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi sasa, isikilize sauti yao; lakini, uwaonye sana, na kuwaonesha desturi ya mfalme atakayewamiliki.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Basi, wasikilize, lakini, waonye vikali, na waeleze waziwazi jinsi mfalme atakayewatawala atakavyowatendea.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sasa viitikie vinywa vyao! Lakini sharti uwashuhudie vema na kuieleza haki yake mfalme atakayewatawala.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi sasa, isikilize sauti yao; walakini, uwaonye sana, na kuwaonyesha desturi ya mfalme atakayewamiliki.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Basi, uwasikilize, lakini uwaonye vikali, na uwaelezee waziwazi jinsi mufalme atakayewatawala atakavyowatendea.”