1 Samuel 9:10 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Shauli akamjibu, “Hilo ni jambo jema; haya, twende.” Hivyo, wakaenda kwenye mji alimokuwa anakaa yule mtu wa Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamwambia mtumishi wake, “Vyema, njoo na twende.” Basi wakaenda mjini alipokuwa huyo mtu wa Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Sauli akamwambia mtumishi wake, Umesema vema; haya! Twende. Wakaenda mpaka mji ule aliokuwamo mtu wa Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Shauli akamjibu, “Hilo ni jambo jema; haya, twende.” Hivyo, wakaenda kwenye mji alimokuwa anakaa yule mtu wa Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamwambia mtumishi wake, “Vyema, njoo na twende.” Basi wakaenda mjini alipokuwepo huyo mtu wa Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamwambia mtumishi wake, “Vyema, njoo na twende.” Basi wakaenda mjini alipokuwepo huyo mtu wa Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi Sauli akamwambia mtumishi wake, Umesema vema; haya! Twende. Wakaenda mpaka mji ule aliokuwamo mtu wa Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Shauli akamjibu, “Hilo ni jambo jema; haya, twende.” Hivyo, wakaenda kwenye mji alimokuwa anakaa yule mtu wa Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamwambia kijana wake: Neno lako ni jema; haya! Twende! Wakaja mle mjini, yule mtu wa Mungu alimokuwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi Sauli akamwambia mtumishi wake, Umesema vema; haya! Twende. Wakaenda mpaka mji ule aliokuwamo mtu wa Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Saulo akamujibu: “Hilo ni jambo zuri; basi, tuende.” Hivyo, wakaenda kwenye muji mutu yule wa Mungu alimokuwa anakaa.