1 Samuel 9:15 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli:
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi siku moja kabla Sauli hajaja, Mwenyezi Mungu alikuwa amemfunulia Samweli jambo hili:
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Basi Bwana alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli:
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi siku moja kabla Sauli hajaja, BWANA alikuwa amemfunulia Samweli jambo hili:
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi siku moja kabla Sauli hajaja, bwana alikuwa amemfunulia Samweli jambo hili:
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Basi BWANA alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema,
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Jana yake, kabla Shauli hajafika mjini hapo, Mwenyezi-Mungu alikuwa amemwambia hivi Samueli:
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nayo siku hiyo iliyotangulia kufika kwake Sauli Bwana alikuwa amemfumbulia Samweli masikioni mwake kwamba:
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Basi BWANA alikuwa amemfunulia Samweli, siku moja kabla Sauli hajamwendea, akisema,
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Jana yake, mbele ya Saulo kufika katika muji pale, Yawe alikuwa amemwambia Samweli hivi: