1 Samuel 9:17 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Samweli alipomwona Sauli, Mwenyezi Mungu akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata Samweli alipomwona Sauli, Bwana akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, “Huyu ndiye mtu yule niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Samweli alipomwona Sauli, bwana akamwambia, “Huyu ndiye mtu niliyekuambia habari zake, kwamba yeye atawatawala watu wangu.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia juu yake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Samueli alipomwona tu Shauli, Mwenyezi-Mungu alimwambia, “Huyu ndiye yule mtu niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Samweli alipomwona Sauli, Bwana akamwambia: Tazama, yule mtu, niliyekuambia, anakuja kwako! Yeye ndiye atayewatawala walio ukoo wangu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata Samweli alipomwona Sauli, BWANA akamwambia, Huyu ndiye niliyekuambia habari zake; huyu ndiye atakayewamiliki watu wangu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Samweli alipomwona tu Saulo, Yawe alimwambia: “Huyu ndiye mutu yule niliyekuambia. Yeye ndiye atakayewatawala watu wangu.”