1 Samuel 9:18 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sauli akamkaribia Samweli langoni na kumuuliza, “Tafadhali, je, unaweza kuniambia mahali nyumba ya mwonaji ilipo?”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ndipo Sauli akamkaribia Samweli langoni, akasema, Tafadhali, uniambie, nyumba ya mwonaji iko wapi?
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Sauli akamkaribia Samweli langoni na kumwuuliza, “Tafadhali, je, waweza kuniambia mahali nyumba ya mwonaji ilipo?”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sauli akamkaribia Samweli langoni na kumuuliza, “Tafadhali, je, waweza kuniambia mahali nyumba ya mwonaji ilipo?”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ndipo Sauli akamkaribia Samweli langoni, akasema, Tafadhali, uniambie, nyumba ya mwonaji iko wapi?
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Hapo Shauli alimwendea Samueli aliyekuwa karibu na lango la mji na kumwuliza, “Nakuomba unioneshe nyumba ya mwonaji.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Sauli akamkaribia Samweli langoni katikati na kumwambia: Niambie, nyumba ya mtazamaji iliko!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ndipo Sauli akamkaribia Samweli langoni, akasema, Tafadhali, uniambie, nyumba ya mwonaji iko wapi?
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Hapo Saulo alimwendea Samweli aliyekuwa karibu na mulango wa muji na kumwuliza: “Ninakuomba unionyeshe nyumba ya mwonaji.”