1 Samuel 9:2 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kishi alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Shauli. Shauli alikuwa kijana mzuri, na hakuna mtu katika Israeli aliyelingana na Shauli kwa uzuri. Shauli alikuwa mrefu zaidi kuliko mtu yeyote katika nchi ya Israeli; watu wote walimfikia mabegani.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Alikuwa na mwana aliyeitwa Sauli, kijana aliyevutia sana, hakuna aliyelingana naye miongoni mwa Waisraeli; alikuwa mrefu kuliko watu wengine wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye alikuwa na mwana, aliyeitwa jina lake Sauli, kijana, tena mzuri; wala katika wana wa Israeli hakuwako mtu mzuri kuliko yeye; tangu mabega yake kwenda juu alikuwa mrefu kuliko watu wote.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kishi alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Shauli. Shauli alikuwa kijana mzuri, na hakuna mtu katika Israeli aliyelingana na Shauli kwa uzuri. Shauli alikuwa mrefu zaidi kuliko mtu yeyote katika nchi ya Israeli; watu wote walimfikia mabegani.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Alikuwa na mwana aliyeitwa Sauli, kijana anayevutia sana, hakuwepo aliyelingana naye miongoni mwa Waisraeli, alikuwa mrefu kuliko wengine wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Alikuwa na mwana aliyeitwa Sauli, kijana anayevutia sana, hakuwepo aliyelingana naye miongoni mwa Waisraeli, alikuwa mrefu kuliko wengine wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye alikuwa na mwana, aliyeitwa Sauli, kijana, tena mzuri; wala katika wana wa Israeli hakuwako mtu mzuri kuliko yeye; tangu mabega yake kwenda juu alikuwa mrefu kuliko watu wote.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kishi alikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Shauli. Shauli alikuwa kijana mzuri, na hakuna mtu katika Israeli aliyelingana na Shauli kwa uzuri. Shauli alikuwa mrefu zaidi kuliko mtu yeyote katika nchi ya Israeli; watu wote walimfikia mabegani.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Alikuwa na mwana wa kiume, jina lake Sauli, naye alikuwa kijana mzuri mno, kwa Waisireli hakuwako mtu mzuri zaidi kuliko yeye, naye aliwapita watu wote kwa urefu wa kichwa kimoja, kikianza kupimwa mabegani.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye alikuwa na mwana, aliyeitwa jina lake Sauli, kijana, tena mzuri; wala katika wana wa Israeli hakuwako mtu mzuri kuliko yeye; tangu mabega yake kwenda juu alikuwa mrefu kuliko watu wote.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisi alikuwa na mwana aliyeitwa Saulo. Saulo alikuwa kijana mwenye sura nzuri, na hakuna mutu katika Israeli aliyelingana na Saulo kwa uzuri. Saulo alikuwa murefu zaidi kuliko mutu yeyote katika inchi ya Israeli; watu wote walimufikia kwenye mabega.