1 Samuel 9:22 — Compare Translations

11 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Kisha Samueli akampeleka Shauli na mtumishi wake sebuleni, akawapa mahali pa heshima, ambako wageni walioalikwa walikuwa wamekaa. Kulikuwa na wageni wapatao thelathini.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kisha Samweli akamleta Sauli na mtumishi wake ukumbini na kuwaketisha mahali pa heshima zaidi miongoni mwa wale waliokuwa wamealikwa; jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Naye Samweli akamtwaa Sauli na mtumishi wake, akawaleta ndani sebuleni, akawaketisha mahali pa heshima kati ya watu walioalikwa, nao jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Kisha Samueli akampeleka Shauli na mtumishi wake sebuleni, akawapa mahali pa heshima, ambako wageni walioalikwa walikuwa wamekaa. Kulikuwa na wageni wapatao thelathini.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kisha Samweli akamleta Sauli na mtumishi wake ndani ukumbini na kuwaketisha mahali pa heshima zaidi miongoni mwa wale waliokuwa wamealikwa, jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kisha Samweli akamleta Sauli na mtumishi wake ndani ukumbini na kuwaketisha mahali pa heshima zaidi miongoni mwa wale waliokuwa wamealikwa; jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Naye Samweli akamtwaa Sauli na mtumishi wake, akawaleta ndani sebuleni, akawaketisha mahali pa heshima kati ya watu walioalikwa, nao jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Kisha Samueli akampeleka Shauli na mtumishi wake sebuleni, akawapa mahali pa heshima, ambako wageni walioalikwa walikuwa wamekaa. Kulikuwa na wageni wapatao thelathini.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kisha Samweli akamchukua Sauli na kijana wake, akawapeleka chumbani, walimolia ng'ombe ya tambiko, akawaketisha juu kwao walioalikwa, nao walikuwa kama watu 30.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Naye Samweli akamtwaa Sauli na mtumishi wake, akawaleta ndani sebuleni, akawaketisha mahali pa heshima kati ya watu walioalikwa, nao jumla yao walikuwa kama watu thelathini.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kisha Samweli akamupeleka Saulo na mutumishi wake ndani ya baraza, akawapa nafasi ya heshima, ambako wageni walioalikwa walikuwa wameikaa. Kulikuwa wageni yapata makumi tatu.