1 Samuel 9:8 — Compare Translations
11 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli. Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia tutapitia njia ipi.”
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Yule mtumishi akamjibu Sauli, akasema, Tazama, mkononi mwangu nina robo ya shekeli ya fedha; nitampa huyo mtu wa Mungu fedha hiyo, atuambie njia yetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mtumishi akamjibu tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli. Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia tuende kwa njia ipi.”
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mtumishi akamjibu Sauli tena, akasema, “Tazama, nina fedha robo shekeli. Hiyo nitampa huyo mtu wa Mungu ili aweze kutuambia twende kwa njia ipi.”
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Yule mtumishi akamjibu Sauli, akasema, Tazama, mkononi mwangu nina fedha robo ya shekeli; nitampa huyo mtu wa Mungu fedha hiyo, atuambie njia yetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Yule mtumishi akamjibu Shauli, “Ona, mimi nina fedha robo shekeli. Nitampa huyo mtu wa Mungu ili atuambie juu ya safari yetu.”
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Yule kijana akamjibu Sauli tena akisema: Tazama, mkononi mwangu imeonekana thumuni! Hii nitampa yule mtu wa Mungu, atuonyeshe njia yetu.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yule mtumishi akamjibu Sauli, akasema, Tazama, mkononi mwangu nina robo ya shekeli ya fedha; nitampa huyo mtu wa Mungu fedha hiyo, atuambie njia yetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yule mutumishi akamujibu Saulo: “Ona, mimi nina vikoroti vine vya shekeli. Nitamupa huyo mutu wa Mungu kusudi atuambie juu ya safari yetu.”