1 Thessalonians 1:4 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zetu mnaopendwa na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, twajua uteule wenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu zetu, Mungu anawapenda. Nasi twajua yakuwa amewachagua muwe watu wake.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zetu mpendwao na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zetu mpendwao na Mungu, kwa kuwa tunajua kwamba Mungu amewachagua,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, tunajua uteule wenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu, twajua kwamba Mungu anawapenda na kwamba amewateua muwe watu wake,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani ndugu mliopendwa na Mungu, twajua: mmechaguliwa.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa maana, ndugu mnaopendwa na Mungu, twajua uteule wenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu wapendwa wa Mungu, tunajua kwamba yeye amewachagua kuwa watu wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
tukijua, ndugu mnaopendwa na Mungu, uteule wenu,