1 Thessalonians 2:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana ninyi wenyewe, ndugu, mwakujua kuingia kwetu kwenu, ya kwamba hakukuwa bure;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ndugu zangu, mnafahamu kuwa safari yetu kuja kwenu ilikuwa yenye nguvu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu, ninyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ndugu zangu, kwa kuwa ninyi wenyewe mnajua ya kwamba kuja kwetu kwenu hakukuwa bure,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana ninyi wenyewe, ndugu, mnakujua kuingia kwetu kwenu, ya kwamba hakukuwa bure;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu, nyinyi wenyewe mnafahamu kwamba ziara yetu kwenu haikuwa bure.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu, mwajua wenyewe, tulivyoingia kwenu, ya kuwa hatukuingia bure.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana ninyi wenyewe, ndugu, mwakujua kuingia kwetu kwenu, ya kwamba hakukuwa bure;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu, munajua ninyi wenyewe kwamba safari yetu kwenu haikukuwa bure.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
MAANA ninyi wenyewe, udugu, mwakujua kuingia kwetu kwenu, ya kwamba hakukuwa burre,