1 Thessalonians 2:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ingawa sisi tukiwa mitume wa Kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. Lakini sisi tulikuwa wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini tulikuwa wapole kati yenu, kama vile mama anawatunza watoto wake wadogo.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
bali tulikuwa wapole katikati yenu, kama vile mlezi awatunzavyo watoto wake mwenyewe.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tulipokuwa pamoja nanyi, kama mitume wa Kristo tulikuwa na uwezo wa kutumia mamlaka yetu kuleta madai ya nguvu kwenu. Lakini tulikuwa wapole kwenu. Tulikuwa kama vile mkunga anavyowahudumia watoto wake wadogo.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ingawa sisi tukiwa mitume wa Kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. Lakini sisi tulikuwa Wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ingawa sisi tukiwa mitume wa Kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. Lakini sisi tulikuwa wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
lakini tulikuwa wapole katikati yenu kama mama anayewatunza watoto wake wadogo.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
lakini tulikuwa wapole katikati yenu, kama mama anayewatunza watoto wake wadogo.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
bali tulikuwa wapole katikati yenu, kama vile mlezi awatunzavyo watoto wake mwenyewe.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ingawa sisi tukiwa mitume wa Kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. Lakini sisi tulikuwa wapole kati yenu kama alivyo mama kwa watoto wake.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Tuliweza kuwa wenye macheo, maana tu mitume wake Kristo, lakini kati yenu tulikuwa wenye upole, kama mlezi akiwalea watoto wake.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
bali tulikuwa wapole katikati yenu, kama vile mlezi awatunzavyo watoto wake mwenyewe.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
ijapokuwa sisi ni mitume wa Kristo, tungeweza kudai mambo fulani kwenu. Lakini sisi tulionyesha upole kati yenu kama vile mama anavyosumbuka kwa ajili ya watoto wake.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
bali tulikuwa wapole kati yenu, kama vile mlezi awatunzavyo watoto wake mwenyewe.