1 Thessalonians 3:12 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Bwana awawezeshe nyinyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda nyinyi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bwana Isa na auongeze upendo wenu na kuuzidisha kati yenu na kwa wengine wote, kama vile tulivyo na upendo mwingi kwenu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunaomba kuwa Bwana ataufanya upendo wenu uendelee kukua. Tunaomba kuwa atawapa kupendana zaidi na zaidi miongoni mwenu na kwa watu wote. Tunaomba kuwa mtampenda kila mmoja kwa namna ile ile ambayo sisi tuliwapenda ninyi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Bwana awawezeshe ninyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda ninyi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Bwana awawezeshe nyinyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda nyinyi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bwana na auongeze upendo wenu na kuuzidisha kati ya ninyi kwa ninyi na kwa wengine wote, kama vile tulivyo na upendo mwingi kwenu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bwana Isa na auongeze upendo wenu na kuuzidisha kati yenu na kwa wengine wote, kama vile tulivyo na upendo mwingi kwenu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Bwana awawezeshe nyinyi kupendana na kuwapenda watu wote zaidi na zaidi, kama vile sisi tunavyowapenda nyinyi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ninyi Bwana awaongezee upendano, mfurikiwe nao, mpate kupendana ninyi kwa ninyi, kisha mwapende nao wote wengine, kama sisi nasi tunavyowapenda ninyi!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bwana na awaongeze na kuwazidisha katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tulivyo kwenu;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Na Bwana awaongezee na kuwazidishia upendo munaokuwa nao ninyi kwa ninyi na kwa watu wote, kama vile sisi nasi tunavyowapenda ninyi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bwana na awaongozeni na kuwazidisheni katika upendo, ninyi kwa ninyi, na kwa watu wote, kama vile na sisi kwenu;