1 Thessalonians 3:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa nyinyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Sasa kwa kuwa hakika tunaishi, kwa kuwa ninyi mmesimama imara katika Bwana Isa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Kwa kuwa sasa twaishi, ikiwa ninyi mnasimama imara katika Bwana.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Kwa kuwa sasa tuna maisha mapya tunapata utimilifu ikiwa imani yenu katika Bwana inaendelea kuwa imara.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa ninyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa nyinyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa maana sasa kwa hakika tunaishi kwa kuwa ninyi mmesimama imara katika Bwana.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Sasa kwa kuwa hakika tunaishi, kwa kuwa ninyi mmesimama imara katika Bwana Isa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Kwa kuwa sasa tunaishi, ikiwa ninyi mnasimama imara katika Bwana.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
kwani sasa tunaishi kweli ikiwa nyinyi mnasimama imara katika kuungana na Bwana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani sasa tumerudi uzimani tena, ikiwa ninyi mmesimama penye Bwana.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Kwa kuwa sasa twaishi, ikiwa ninyi mnasimama imara katika Bwana.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana sasa tunaweza kupumua kwa kuona munasimama imara katika kuungana kwenu na Bwana.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Kwa kuwa sasa twaishi, ikiwa ninyi mnasimama imara katika Bwana.