1 Thessalonians 4:5 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
bali si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Msiruhusu tamaa za mwili kuwatawala kama watu wasiomjua Mungu.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mungu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
si kwa tamaa mbaya kama watu wa Mataifa wasiomjua Mwenyezi Mungu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
na si kwa tamaa mbaya kama watu wa mataifa mengine wasiomjua Mungu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
usivurugikane na tamaa na kijicho, kama wamizimu walivyofanya, wasiomjua Mungu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
si katika hali ya tamaa mbaya, kama Mataifa wasiomjua Mungu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
bila kujiachilia kutawaliwa na tamaa mbaya kama vile wapagani wasioamini Mungu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
si katika hali ya tamaa mbaya, kama mataifa wasiomjua Mungu;