1 Thessalonians 5:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Basi ndugu, hatuna haja ya kuwaandikia kuhusu nyakati na majira,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Na sasa ndugu zangu, hatuna haja ya kuwaandikia juu ya nyakati na tarehe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira yatakapotukia mambo haya.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini, ndugu, kuhusu nyakati na majira, hamna haja niwaandikie.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ndugu, hakuna haja ya kuwaandikieni juu ya nyakati na majira ya mambo haya yatakapotukia.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Ndugu, hampaswi na kuandikiwa, kama itakuwa mwaka gani au siku gani, hayo yatakapokuwapo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira, hamna haja niwaandikie.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wandugu, si lazima kwenu niwaandikie jambo lolote juu ya wakati wala saa ambayo mambo hayo yatatokea.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
LAKINI kwa khabari ya nyakati na majira, ndugu, hamna haja niwaandikie.