1 Thessalonians 5:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tu hai au tumekufa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Yesu alikufa kwa ajili yetu ili tuishi pamoja nae. Haijalishi kama tu hai au wafu atakapokuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tu hai au tumekufa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tu hai au tumekufa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Yeye alikufa kwa ajili yetu ili kwamba kama tuko macho au tukiwa tumelala tupate kuishi pamoja naye.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Yeye alikufa kwa ajili yetu ili hata kama tuko macho au tumelala, tupate kuishi pamoja naye.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tunakesha au tunalala.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, iwe tu hai au tumekufa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
aliyekufa kwa ajili yetu sisi, tupate kuishi pamoja naye yeye, tukiwa tuko macho, au tukiwa tumelala usingizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
ambaye alikufa kwa ajili yetu, ili tuishi pamoja naye, kwamba twakesha au kwamba twalala.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Yeye alikufa kwa ajili yetu, kusudi hata ikiwa tuko wazima au tumekufa, tupate kuishi pamoja naye wakati atakaporudia.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
aliyekufa kwa ajili vetu, illi tuishi pamoja nae, ikiwa twakesha au ikiwa twalala.