1 Thessalonians 5:27 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ninawaagiza mbele za Bwana Isa mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nawaapisha kwa Bwana, ndugu wote wasomewe waraka huu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninawaagiza kwa mamlaka ya Bwana kuusoma walaka huu kwa waamini wote huko.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Nawaagizeni mbele za Bwana mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Nawaagizeni mbele za Bwana Isa mhakikishe kuwa ndugu wote wanasomewa barua hii.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nawaapisha kwa Bwana, ndugu wote wasomewe waraka huu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Nawahimizeni kwa jina la Bwana muwasomee ndugu zetu wote barua hii.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nawaapisha ninyi kwa Bwana, barua hii isomewe ndugu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nawaapisha kwa Bwana, ndugu wote wasomewe waraka huu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninawasihi kwa jina la Bwana, musome barua hii kwa wandugu wote.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nawaapisha kwa Bwana, wasomewe ndugu wote waraka huu.