1 Thessalonians 5:4 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Lakini nyinyi, ndugu, hamko gizani, na siku hiyo haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Bali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali ninyi, ndugu, hammo gizani, hata siku ile iwapate kama mwivi.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini ninyi ndugu zangu, hamuishi katika giza. Na hivyo ile siku haitawashangaza kama mwivi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Lakini ninyi ndugu, hamko gizani, na siku hiyo haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Lakini nyinyi, ndugu, hamko gizani, na siku hiyo haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Bali ninyi, ndugu, hamko gizani hata kwamba siku ile iwakute ghafula kama mwivi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Bali ninyi, ndugu, hampo gizani hata siku ile iwakute ghafula kama mwizi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali ninyi, ndugu, hamko gizani, hata siku ile iwapate kama mwizi.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Lakini nyinyi, ndugu, hamko gizani, na siku hiyo haipaswi kuwajieni ghafla kama vile mwizi.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini ninyi, ndugu, hammo gizani, kwa hiyo siku ile hitawafumania kama mwizi.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali ninyi, ndugu, hammo gizani, hata siku ile iwapate kama mwivi.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ninyi wandugu, hamuko katika giza, kwa hiyo siku ile haitawafikia kwa rafla kama mwizi.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali ninyi, ndugu, hamwi katika giza, siku ile iwapale kama mwizi.