1 Thessalonians 5:7 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa kuwa wote wanaolala, hulala usiku, na wale wanaolewa, hulewa usiku.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Maana walalao usingizi hulala usiku, pia na walewao hulewa usiku.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Watu walalao, hulala usiku. Watu wanywao kupita kiasi, hunywa usiku.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa kuwa wote walalao hulala usiku na wale walewao hulewa usiku.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Maana walalao usingizi hulala usiku, pia na walewao hulewa usiku.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanaolala hulala usiku, na walevi hulewa usiku.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Kwani wanaolala usingizi hulala usiku, nao wanaolewa hulewa usiku.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Maana walalao usingizi hulala usiku, pia na walewao hulewa usiku.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa maana wale wanaolala usingizi wanalala usiku, na wale wanaolewa, wanalewa usiku.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Maana walalao hulala usiku, na walewao hulewa usiku.