1 Timothy 1:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani. Neema, rehema na amani zinazotoka kwa Mungu Baba Mwenyezi na kwa Al-Masihi Isa, Bwana wetu.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa Timotheo, mwanangu hasa katika imani. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninakuandikia wewe, Timotheo. Wewe ni kama mwanangu halisi kwa sababu ya imani yetu. Neema, rehema na amani kutoka kwa Mungu Baba na Kristo Yesu Bwana wetu ziwe pamoja nawe.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Kwa Timotheo, mwanangu hasa katika imani: Neema, rehema na amani kutoka kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani: Neema, rehema na amani itokayo kwa Mungu Baba na kwa Al-Masihi Isa Bwana wetu.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa Timotheo, mwanangu halisi katika imani. Na iwe kwako neema, rehema na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
nakuandikia Timotheo mwanangu halisi katika imani. Nakutakia neema, huruma na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
nakuandikia, wewe Timoteo uliye mwanangu wa kweli kwa hivyo, unavyomtegemea Mungu. Upole ukukalie na huruma na utengemano unaotoka kwa Mungu Baba na kwa Bwana wetu Kristo Yesu!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa Timotheo, mwanangu hasa katika imani. Neema na iwe kwako, na rehema, na amani, zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuandikia wewe Timoteo mwana wangu wa kweli katika imani. Ninakutakia neema na rehema na amani kutoka kwa Mungu Baba yetu na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa Timotheo, mwana wangu khassa katika imani, Neema, na rehema, na amani zitokazo kwa Mungu Baba na kwa Kristo Yesu Bwana wetu.