1 Timothy 1:6 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini wengine wamekosa jambo hili la msingi katika mafundisho yao na wamepoteza mwelekeo. Sasa wanazungumza juu ya mambo yasiyo na msaada kwa mtu yeyote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Watu wengine wamepotoka kutoka katika haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Watu wengine wamepotoka kutoka haya na kugeukia majadiliano yasiyo na maana kwa kuwa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Watu wengine wamepotoka na kugeukia majadiliano yasiyo na maana.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Wengine wameikosa mioyo iliyo hivyo, wakapotelea katika maneno ya upuzi;
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wengine wakiyakosa hayo wamegeukia maneno ya ubatili;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Watu wamoja wamekosa kuwa na tabia hiyo hata wamefuata maneno ya ovyo ovyo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
wengine wakikosa bayo wamepotea, wakigeukia maneno ya ubatili;