1 Timothy 1:8 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Tunajua kwamba sheria ni nzuri ikiwa mtu anaitumia kwa usahihi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Twajua kwamba Sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Tunajua kwamba sheria ni njema ikiwa inatumika kwa halali kama ilivyokusudiwa.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Twajua kwamba sheria ni njema, kama ikitumiwa ipasavyo.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Twajua, ya kuwa maonyo ni mazuri, mtu akiyatumia kujionya
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Lakini twajua ya kuwa sheria ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia iliyo halali;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Tunajua kwamba Sheria ni nzuri, kama ikitumiwa kwa njia ya haki.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Lakini twajua ya kuwa sharia ni njema, kama mtu akiitumia kwa njia ya kisharia;