1 Timothy 2:11 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu na utiifu wote.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mwanamke anapaswa kujifunza akisikiliza kwa utulivu huku akiwa radhi kutii kwa moyo wake wote.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utii wote.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mwanamke na ajifunze kwa utulivu na kwa utiifu wote.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Wanawake wanapaswa kukaa kimya na kuwa wanyenyekevu wakati wa kujifunza.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mwanamke sharti ajifunze kutulia na kutii sana!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Mwanamke na ajifunze katika utulivu, akitii kwa kila namna.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanawake wanapaswa kusikiliza mafundisho katika ukimya na utii kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Mwanamke na ajifunze kalika utulivu, akitii kwa killa namna.