1 Timothy 3:1 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Msemo huu ni wa kweli: Mtu anayetaka kuwa askofu, huyo anatamani kazi nzuri.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kuwa mwangalizi wa kundi la waumini, atamani kazi nzuri.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu,
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Usemi huu ni wa kweli kwamba yeyote mwenye nia ya kuhudumu kama mzee, anatamani kazi njema.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Msemo huu ni wa kweli: mtu akitaka kuwa kiongozi katika kanisa, huyo anatamani kazi nzuri.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Msemo huu ni wa kweli: mtu anayetaka kuwa askofu, huyo anatamani kazi nzuri.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni neno la kuaminiwa, kwamba mtu akitamani kazi ya uangalizi, atamani kazi nzuri.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Msemo huu ni wa kweli: Mtu anayetaka kuwa askofu, huyo anatamani kazi nzuri.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili ni la kweli: Mtu akitaka kazi ya ukaguzi anataka kazi nzuri.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno la kuaminiwa; mtu akitaka kazi ya askofu, atamani kazi njema.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno hili ni la kweli; kama mutu anatamani kazi ya musimamizi wa kanisa anatamani kazi nzuri.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
AMINI neno hili, Mtu akitaka uaskofu, atamani kazi nzuri.