1 Timothy 3:10 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Hao unapaswa kuwapima kwanza. Kisha, ukigundua kuwa hawawezi kushitakiwa jambo lolote baya walilotenda, basi wanaweza kuwa mashemasi.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ni lazima wapimwe kwanza, kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ni lazima wapimwe kwanza; kisha kama hakuna neno dhidi yao, basi na waruhusiwe kuhudumu kama mashemasi.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ni lazima kwanza wathibitishwe, na wakionekana kuwa wanafaa, basi, watoe huduma yao.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Hao kwanza wajaribiwe! Ikijulikana, ya kuwa haliko neno la kuwakamia, basi, wawekwe kuwa watumikiaji.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hawa pia na wajaribiwe kwanza; baadaye waitende kazi ya shemasi, wakiisha kuonekana kuwa hawana hatia.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Inafaa wapimwe kwanza, na kisha kama hawakuonekana na kosa, wataweza kutumika kama wasaidizi wa kanisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Na hawa pia wajaribiwe kwanza; baadae watumie daraja ya ushemasi, wakiisha kuonekana hawana khatiya.