1 Timothy 3:14 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili,
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Ninatarajia kuja kwenu hivi karibuni. Lakini ninakuandikia maneno haya sasa,
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili kwamba,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Ingawa ninatarajia kuja kwako hivi karibuni, ninakuandikia maagizo haya sasa ili kwamba,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Ninakuandikia barua hii nikiwa na matumaini ya kuja kwako hivi karibuni.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Nakuandikia haya, ijapo nangojea, bado kidogo nifike kwako.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nakuandikia hayo nikitaraji kuja kwako hivi karibu.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Ninakuandikia barua hii, ijapokuwa ninatumaini kuja kukuona kisha muda kidogo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Nakuandikia haya, nikitaraja kuja kwako karibu.