1 Timothy 4:13 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani Maandiko Matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, hadi nitakapokuja.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma na kuonya na kufundisha.
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Endelea kusoma Maandiko kwa watu, watie moyo, na uwafundishe. Fanya hivyo mpaka nitakapo kuja.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani Maandiko Matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani Maandiko Matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Fanya bidii kusoma Maandiko hadharani, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma Maandiko, kuonya na kufundisha.
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Tumia wakati wako na juhudi yako katika kusoma hadharani Maandiko Matakatifu, kuhubiri na kufundisha, mpaka nitakapokuja.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Mpaka nitakapofika, ufulize kuwasomea na kuwaonya na kuwafundisha!
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Hata nitakapokuja, ufanye bidii katika kusoma na kuonya na kufundisha.
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Kwa kungojea mpaka nitakapofika, ujitolee kwa kuwasomea watu Maandiko Matakatifu kwa kuwaonya na kuwafundisha.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Hatta nijapo, fanya bidii katika kusoma na kuonya ua kufundisha.