1 Timothy 4:2 — Compare Translations

14 translations compared side by side

Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Mafundisho kama hayo huja kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki, hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Mafundisho hayo yanafundishwa na watu wanaodanganya na kuwafanyia hila wengine. Watu hawa waovu hawapambanui kati ya mema na maovu. Ni kana kwamba dhamiri zao zimeharibiwa kwa chuma cha moto.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Mafundisho kama hayo huja kwa kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Mafundisho kama hayo huja kupitia kwa waongo ambao ni wanafiki, hali dhamiri zao zikiungua kwa kuchomwa moto.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Mafundisho ya namna hiyo yanaenezwa na watu waongo wadanganyifu, ambao dhamiri zao ziko kama zimechomwa kwa chuma cha moto.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
ndio watu waliodanganywa nao wanaojitendekeza kwa kusema uwongo na kwa kuficha, ya kuwa wenyewe wamechomwa moto mioyoni kwa kufanya hivyo.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
kwa unafiki wa watu wasemao uongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Wanadanganywa na watu wenye uongo na wanafiki wenye zamiri iliyokufa, iliyoharibika kabisa kama vile imeteketezwa kwa moto.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
kwa unafiki wa watu wasemao uwongo, wakichomwa moto dhamiri zao wenyewe;