1 Timothy 4:9 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa.
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Huu ni usemi wa kweli ambao unaweza kukukubaliwa bila kuuliza swali:
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa.
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa.
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Hili ni neno la kuaminiwa tena lastahili kukubaliwa kabisa,
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usemi huo ni wa kusadikika kabisa na unastahili kukubaliwa.
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Neno hili ni la kweli, nalo linapasa kushikwa na watu wote.
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Ni neno la kuaminiwa, tena lastahili kukubalika kabisa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Neno hilo ni la kuaminiwa, nalo linastahili kukubaliwa kabisa.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Neno hili ni amini, lastahili kukubaliwa na wote.