1 Timothy 5:11 — Compare Translations
14 translations compared side by side
Swahili (BHN) (Habari Njema) 2001
Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena,
Swahili (Neno: Maandiko Matakatifu 2024)
Lakini kwa habari za wajane vijana usiwaweke kwenye orodha hiyo, maana tamaa zao za kimaumbile zikizidi kule kujitoa kwao kwa Al-Masihi, watataka kuolewa tena.
Swahili (SRUV) (Swahili Revised Union Version)
Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;
Swahili (TKU) 2017 (Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi)
Lakini usiwaweke wajane wachanga katika orodha. Nguvu zao za mahitaji ya mwili zinawavuta wajiondea kwa Kristo, wanataka kuolewa tena.
Swahili 1850 - Biblia Takatifu
Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo watataka kuolewa tena,
Swahili BHNTLK (Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza)
Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena,
Swahili NEN (Neno: Bibilia Takatifu 2025)
Lakini kwa habari za wajane vijana usiwaweke kwenye orodha hiyo, maana tamaa zao za kimaumbile zikizidi kule kujitoa kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena.
Swahili NMM (Neno: Maandiko Matakatifu) 2018
Lakini kwa habari za wajane vijana usiwaweke kwenye orodha hiyo, maana tamaa zao za kimaumbile zikizidi kule kujitoa kwao kwa Al-Masihi, watataka kuolewa tena.
Swahili RSUVDC (BIBLIA KISWAHILI)
Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;
Swahili SCLDC10 (BIBLIA Yenye Vitabu vya Deuterokanoni HABARI NJEMA)
Usiwaandikishe wajane vijana, kwani kama tamaa zao za maumbile zikizidi kuwa na nguvu zaidi kuliko kujitolea kwao kwa Kristo, watataka kuolewa tena,
Swahili SRB37 (Swahili Roehl Bible 1937)
Lakini wajane, wasiomaliza bado ile miaka, uwakatae! Kwani hao wangawa wamtumikia Kristo, watakapoingiwa na tamaa ya mume, wanataka kuolewa,
Swahili SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Bali wajane walio vijana ukatae kuwaandika hao, maana, wakizidiwa na tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa;
Swahili SWC02 (BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002)
Lakini ukatae kuandika wajane wanaokuwa wangali vijana katika hesabu ile kwa maana wanapovutwa na tamaa ya kutaka kuolewa, wanaacha kumutumikia Kristo.
Swahili SWZZB1921 (New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921)
Bali wajane walio vijana nkatae kuwaandika, maana wakiona tamaa kinyume cha Kristo, wataka kuolewa,